ABOUT US

ABOUT US

Zikianzia kwa mara ya kwanza nchini UTURUKI, bidhaa chapa YAPFIX zimefanyika SULUHISHO la kudumu kwa matatizo sugu kwa wajenzi katika hatua ya umaliziaji majengo(finishing) kwa zaidi ya miaka 20, hivyo kuboresha kazi za mafundi wengi na kuifanya Yapfix kuwa CHAGUO LA MAFUNDI.

Kwa teknolojia ya UTURUKI na UJERUMANI BOSPHORUS MANUFACTURING LTD tunazalisha bidhaa zenye ubora wa kiwango cha kimataifa ndani ya nchi ya Tanzania tangu mwaka 2015. Bidhaa chapa YAPFIX zina asili ya ki-saruji(Cement based powder) na zinapatikana kwa makundi mawili; Kupaka ukutani(skimming) na kubandikia marumaru ukutani na sakafuni.

KUPAKA UKUTANI

Waterproofing Cement, Decorative Plaster, Wall putty,Anti Fungus Wall putty, Repair Mortal

KUBANDIKIA MARUMARU

Grout, Anti-Bacterial & Waterproofing Grout, Tile & Ceramic Adhesive, White Adhesive (Tile, Ceramic, Marble, Granite) ,Self-Leveling mortar